Announcements
Posted On: Apr 01, 2023
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MADAI YA UWEPO WA DAWA ZA MENO ZENYE VICHOCHEO VYA KIBIOLOJIA (HORMONES)
Hivi karibuni, kumekuwepo na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoelezea uwepo wa dawa za meno zinazotolewa kama msaada katika baadhi ya shule hapa nchini zinazosadikika kuwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) tumepima na kuthibitisha zina viambata ambavyo ni vichocheo vya kibiolojia (hormones) vinavyoathiri watumiaji hasa watoto wa kiume. Kwa taarifa zaidi fungua lkiambatanisho kifuatacho: