Announcements

Posted On: Apr 30, 2024


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MTANZANIA ALIYEBUNI BAJAJ

Hivi karibuni, kumekuwepo na taarifa inayosambaa kuhusu Mtanzania aliyebuni chombo cha usafiri cha matairi matatu maarufu kama “Bajaj”ambayo inaelezea TBS kuikataa sababu ya kuzidi urefu.

taarifa kwa umma bajaj