Announcements

Posted On: Jan 16, 2026


MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA RANGI NA VANISHI (PAINTS AND VARNISH STANDARDS)

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya rangi na vanishi. Mafunzo haya yatafanyika tarehe 25 hadi 26 Machi, 2026 katika ukumbi wa TBS, Makao Makuu Ubungo Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

tangazo la mafunzo uelewa ya viwango vya rangi na vanishi