Announcements
Posted On: Jan 20, 2026
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USITISHAJI WA VYETI NA LESENI 106 ZA UBORA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa limesitisha vyeti na leseni 106 za kutumia alama ya ubora ya TBS kuanzia tarehe iliyotajwa kwenye orodha kwa kila bidhaa kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo maombi ya kufunga biashara na kutokutii masharti ya leseni kwa mujibu wa Kanuni ya 28 ya Kanuni za Usajili wa Majengo na Uthibitishaji wa bidhaa, 2021 (The Standards (Registration of Premises and Certification of Products) Regulations, 2021).
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
public notice suspended licence
orodha ya leseni zilizositishwa