Announcements

Posted On: Sep 29, 2025


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USALAMA WA MBOGAMBOGA

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na majukumu mengine hufanya ufuatiliaji wa bidhaa za mbogamboga ili kuhakiki usalama wake. Kilimo cha mazao ya mbogamboga, hutumia viuatilifu ili kukabiliana na wadudu waharibifu, magonjwa ya mimea na magugu ambapo viuatilifu vinavyotakiwa kutumika ni vile vilivyoidhinishwa na mamlaka za udhibiti. Kwa taarifa zaidi : usalama wa mbogamboga