Announcements
Posted On: Aug 16, 2025
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UWEKAJI WA VITU VISIVYO CHAKULA KWENYE BAADHI YA BIDHAA ZA CHAKULA ZILIZOFUNGASHWA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutarifu umma kuwa kupitia kaguzi zilizofanyika katika soko lilibaini kuwa kuna baadhi ya wazalishaji wanaozalisha na kusambaza bidhaa za chakula pasipo kuzingatia Kanuni Bora za Uzalishaji (Good Manufacturing Practices) pamoja na Kanuni Bora za Usafi (Good Hygenic Practices) ambapo huweka vitu visivyo chakula ndani ya baadhi ya bidhaa za chakula kilichofungashwa kama zawadi ili kuvutia walaji hususan watoto.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
taarifa kwa umma kuhusu uwekaji wa vitu visivyo chakula