Announcements
Posted On: Sep 28, 2022
TAARIFA KWA WAAGIZAJI WA MAGARI YALIYOTUMIKA KUTOKA JAPAN
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilitoa taarifa kuwa kuanziatarehe 20 Julai 2022, magari yote yaliyotumika (used motor vehicles) yanayotoka nchini Japan yatakuwa yanakaguliwa nchini Japan kabla ya kuja Tanzania kwa utaratibu wa Pre-Shipment Verification of Conformity to Standards (PVoC).Shirika linapenda kuwasisitiza waagizaji wa magari yaliyotumika kutoka Japan, mawakala wa forodha na wananchi wote kwa ujumla kuhakikisha wanakagua magari hayo kabla ya kusafirishwa kuja Tanzania.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;