Announcements

Posted On: Nov 15, 2021


TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU TUZO ZA UBORA ZA KITAIFA KWA MWAKA 2021

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) tumekabidhiwa jukumu la kuanzisha Tuzo za Ubora za Kitaifa na Wizara ya Viwanda na Biashara. Hatua hii ni kufuatia makubaliano baina ya wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ya kuanzisha tuzo za ubora ili kutambua na kukuza sekta ya biashara kupitia ubora wa bidhaa na huduma katika ukanda huu.

Kwa taarifa zaidi fungua kiambata kifuatacho;

taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu tuzo za ubora za kitaifa kwa mwaka 2021 1