Announcements

Posted On: Jan 08, 2025


TAARIFA KWA WATENGENEZAJI WA MAUDHUI MITANDAONI (SOCIAL MEDIA CONTENT CREATORS) YANAYOHUSU BIDHAA ZA CHAKULA

Kwa mujibu wa Sheria ya Viwango Sura 130 na Kanuni zake, hairuhusiwi kwa mtu yeyote kutengeneza, kuandaa, kusambaza, kuuza na kutangaza bidhaa ambazo zinaweza kuathiri afya ya mtumiaji pamoja na maudhui ambayo yanapotosha watumiaji. Aidha, hairuhusiwi kutangaza au kuuza bidhaa za chakula katika maeneo ambayo hayajasajiliwa na TBS.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

taarifa kwa watengenezaji wa maudhui mitandaoni (social media content creators) yanayohusu bidhaa za chakula