Announcements

Posted On: Feb 14, 2023


TAARIFA KWA WAZALISHAJI, WAINGIZAJI, WASAMBAZAJI NA WAUZAJI WA MAZIWA MBADALA YA WATOTO (INFANT FORMULA NA FOLLOW UP FORMULA)

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwakumbusha wazalishaji, waingizaji, wasambazaji na wauzaji wa bidhaa za chakula ikiwemo maziwa mbadala ya watoto kuzingatia matakwa ya viwango na kuhakikisha zinasajiliwa na TBS kabla ya kuletwa nchini.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

taarifa kwa wazalishaji, waingizaji, wasambazaji na wauzaji wa maziwa mbadala ya watoto (infant formula na follow up formula)