Announcements
Posted On: Jun 17, 2025
MKUTANO MKUU WA SHIRIKA LA VIWANGO BARANI AFRIKA (ARSO), NCHINI TANZANIA
Tanzania ikiwakilishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS), mwaka huu imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu wa Shirika la Viwango Barani Afrika (ARSO) utakaofanyika Visiwa vya Zanzibar, katika hoteli ya Golden Tulip, kuanzia tarehe 23 hadi 27 Juni 2025.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
mkutano mkuu wa shirika la viwango barani afrika (arso), nchini tanzania