Announcements

Posted On: Jan 30, 2025


TANGAZO LA MNADA WA HADHARA

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuujulisha umma kuwa kutakuwa na mnada wa hadhara tarehe 15-02-2025, 16-02-2025 na 22-02-2025 katika ofisi ya TBS Ubungo - Dar es Salaam na ofisi za Kanda ambapo jumla ya mali 535 zitauzwa.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

tangazo la mnada wa hadhara 2025