Announcements
Posted On: Aug 06, 2025
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA FUNDI MCHUNDO - LOCAL FUNDI
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kupitia fedha za Serikali lipo katika mchakato wa ujenzi wa kituo cha kukagulia magari yanayoingia nchini kwenye ofisi zake zilizopo Ubungo. Hivyo, Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) anawatangazia wananchi wote wenye uwezo, sifa na uzoefu wa ujenzi kuomba kazi za ufundi wa kujenga kituo hicho.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
tangazo la nafasi za kazi za fundi mchundo local fundi