Announcements

Posted On: Aug 07, 2022


TANGAZO LA USAILI WA MAFUNZO KAZINI (INTERNSHIP)

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za
mafunzo kazini (Internship) kuwa usaili wa kuandika kwa mafunzo ya kazi za
Matengenezo, Tehama, Ukaguzi wa Bidhaa/Mizigo, Masoko na Uhusiano,
Kuweka Vinasaba, Uhasibu na Fedha na Utunzaji Kumbukumbu unatarajiwa
kufanyika tarehe 20- 08 -2022 siku ya Jumamosi kuanzia saa mbili kamili
asubuhi. Usaili utafanyika kwenye Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

Kwa taarifa zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

tangazo la usaili wa internship