Announcements

Posted On: May 05, 2022


UFAFANUZI KUHUSU TANGAZO LA VIAMBATO VYA VIPODOZI VILIVYOPIGWA MARUFUKU

Hivi karibuni Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilitoa tangazo kuhusu viambato vililivyopigwa marufuku kutumika katika vipodozi. Kufuatia tangazo hilo, wananchi na wadau wamekuwa wakiuliza maswali pamoja na kuomba na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali kuhusu vipodozi.

Kwa taarifa zaidi kuhusu ufafanuzi huu fungua kiambatanisho kifuatacho:

ufafanuzi kuhusu tangazo la viambato vya vipodozi vilivyopigwa marufuku