Announcements
Posted On: Aug 06, 2025
MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA MABOMBA (PIPES)
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya bomba za kusambaza maji ya moto na baridi, bomba za kusambaza gesi, bomba za maji taka na bomba nyingine kulingana na viwango vya Kitaifa na Kimataifa.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
tangazo la mafunzo pipes sept 2025