Announcements

Posted On: Aug 05, 2025


MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA VINYWAJI VYENYE VILEVI (ALCOHOLIC DRINKS)

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya Viwango vya vinywaji vyenye vilevi (alcoholic drinks) aina ya Whisky, Vodka, Brandy, Gin, Rum, Potable Spirits, Neutral Spirit, Alcoholic Drink, Roselle and NonCereal Based Alcoholic beverages.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

tangazo la mafunzo alcoholic drink