Announcements

Posted On: Nov 05, 2025


MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA VINYWAJI VYENYE VILEVI (ALCOHOLIC DRINKS)

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa juu ya matakwa ya viwango vya vinywaji vyenye vilevi (Alcoholic Drinks).

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

tangazo la mafunzo uelewaa alcoholic drinks