Announcements

Posted On: Nov 27, 2025


MKUTANO KATI YA TBS NA WAZALISHAJI, WAINGIZAJI NA WASAMBAZAJI WA BIDHAA ZA UMEME

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mkutano wa wazalishaji, waingizaji na wasambazaji wa bidhaa za umeme hapa nchini kwa lengo la kukuza uelewa wa matakwa ya viwango vya bidhaa hizo.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

tangazo kwa wadau wa bidhaa za umeme