Announcements
Posted On: Apr 04, 2024
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UWEPO WA KIWANDA KINACHOZALISHA UNGA WA MAHINDI “JOHNSSON LISHE SEMBE MSWED”
Hivi karibuni, kumekuwepo na taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoeleza kuhusu kiwanda cha “Mr and Mrs Jonsson-Johnsson Varmland Hagfors” kuzalisha unga wa mahindi (sembe) ujulikanao kwa jina la “Jonsson Lishe- Sembe Mswed” unaosemekana “kuwekwa madawa ya kuua nguvu za kiume na kuongezea hormones za ushoga”.