Announcements

Posted On: Oct 16, 2021


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU SUMUKUVU AINA YA PATULIN KWENYE JUISI YA TUFAA (APPLE) AINA YA CERES

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa hivi karibuni lilipokea taarifa kutoka mtandao wa Kimataifa wa Mamlaka za Udhibiti Usalama wa Chakula (International Food Safety Authorities Network (INFOSAN) uliopo chini ya FAO na WHO kuhusu uwepo wa sumukuvu aina ya Patulin kwenye juisi ya tufaa (apple) aina ya Ceres kwenye matoleo ya tarehe 14 hadi 30 Juni, 2021.

Kwa taarifa zaidi fungua kiambata kifuatacho;

juisi ya tufaa (apple ceres juice)