Announcements

Posted On: Apr 11, 2023


UFAFANUZI KUHUSIANA NA TAMBI ZENYE CHAPA YA SANTA LUCIA

Hivi karibuni, kumekuwepo na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoonesha bidhaa ya tambi yenye chapa ya Santa Lucia iliyoandikwa maneno “for sale in Tanzania only” ikiwa na maana “Ni kwa ajili ya kuuzwa Tanzania pekee” katika kifungashio chake.Kwa taarifa zaidi fungua link ifuatayo:

tambi santa lucia