Announcements

Posted On: Apr 11, 2023


UFAFANUZI KUHUSU HABARI ILIYOCHAPISHWA KWENYE GAZETI LA JAMHURI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu habari iliyochapishwa na Gazeti la Jamhuri Toleo Na. 602, Jumanne, tarehe 11 Aprili, 2023 yenye kichwa cha habari “Uozo Mfumo wa TBS”. Kwa taarifa zaidi fungua link ifuatayo:

jamhuri